Una damu mkononi na asali mdomoni

Matendo yako ni maovu matamshi yako ni matamu

Nimeomba haujaamini, nimeimba hausikii

Nimebishabisha nimeitana na mlango haufungui

(Pre-Chorus)

Nami sina budi kwangu ni kufungua

Bali Yesu kuzidi

Langu ni tangazo habari kwa ufupi

Hakuna moshi bila moto

(Chorus)

Ukweli hauna kifo

Ukweli hauna mwisho

Na wewe umejaa vitisho

Ukweli hauna mwisho

 

There’s blood on your fingers

Honey flows from your tongue

As you conceal the boundary stones

While I’m not looking you stab me in the back with my own spear

I play my song but you’re not dancing

I pray for you but you won’t believe

My knees are aching form nights awake in tears for you.

(Pre-chorus)

(Chorus)